Mwisho saa 11:59 usiku.
YaaH uko sahihi.. huwa wanadisconnect mitambo saa sita kamili usiku..Mwisho saa 11:59 usiku.
USIKU SAA 5:59 (00:59)
Samahani naomba kuuliza kuna tofauti gani kati ya maombi ya Chuo cha UDOM ngazi ya diploma kupitia online chuoni... ambayo inakuwa na machaguo tano na maombi ya UDOM kupitia NACTE yenye chaguo moja. Kule UDOM bila NACTE inaitwa diploma in nursing... halafu huku NACTE inaitwa diploma in nursing and Midwifery ..na zote zipo university of Dodoma....na ada UDOM kama UDOM ni 1200000...na ada ya UDOM upande wa NACTE ni 3000000 kwa walivyo andika...sasa wananichanganya...na kuivuruga..sijawaelewa.USIKU SAA 5:59 (00:59)
haya mambo yanachanganya sana. jambo hili lilinisumbua sana. mawasiliano nao sikuyapata. to be on the safe side niliomba kote kote (of course double expenses). Ila milioni 3 ni slip of a pen, hakuna ada kama hiyo UDOM>H
Samahani naomba kuuliza kuna tofauti gani kati ya maombi ya Chuo cha UDOM ngazi ya diploma kupitia online chuoni... ambayo inakuwa na machaguo tano na maombi ya UDOM kupitia NACTE yenye chaguo moja. Kule UDOM bila NACTE inaitwa diploma in nursing... halafu huku NACTE inaitwa diploma in nursing and Midwifery ..na zote zipo university of Dodoma....na ada UDOM kama UDOM ni 1200000...na ada ya UDOM upande wa NACTE ni 3000000 kwa walivyo andika...sasa wananichanganya...na kuivuruga..sijawaelewa.
Hata mimi imenitoka 20000.... kumi UDOM wenyewe... kumi UDOM NACTE..haya mambo yanachanganya sana. jambo hili lilinisumbua sana. mawasiliano nao sikuyapata. to be on the safe side niliomba kote kote (of course double expenses). Ila milioni 3 ni slip of a pen, hakuna ada kama hiyo UDOM>
Hata mimi imenitoka 20000.... kumi UDOM wenyewe... kumi UDOM NACTE..haya mambo yanachanganya sana. jambo hili lilinisumbua sana. mawasiliano nao sikuyapata. to be on the safe side niliomba kote kote (of course double expenses). Ila milioni 3 ni slip of a pen, hakuna ada kama hiyo UDOM>
Sure, mimi nillilipa NACTE 30,000 Tsh. We ni msichana? Why nursing first choice?Hata mimi imenitoka 20000.... kumi UDOM wenyewe... kumi UDOM NACTE..
1.nursing
2.pharmacy
3.lab technology
4.telecommunication
5.gis& remote sensing
Huku NACTE ... nursing and Midwifery.
SioSure, mimi nillilipa NACTE 30,000 Tsh. We ni msichana? Why nursing first choice?
Nadhani kama ni NACTE hawaruhusu kufanya application katika field mbili. Ukiona inakataa. Sijawahi jaribu.Niko nang'ang'ana kufanya application ya education, nilifanya ya health, wananiambia tayari Niko registered sasa nifanyeje wakuu? Ina maana hawaruhusu Ku apply education wakati ume apply health?
Nakushauri lipia tena 10000 na uanze process upya kwa upande wa educationNiko nang'ang'ana kufanya application ya education, nilifanya ya health, wananiambia tayari Niko registered sasa nifanyeje wakuu? Ina maana hawaruhusu Ku apply education wakati ume apply health?
Sure, ukilipia mara mbili unapata namba mpya itakubali. Kumbe ulikuwa unataka kulipia elfu kumi tu field mbili, haikubali. Lipia upya 10,000 then it will go! wahi sasa hivi. bado muda kidogoNiko nang'ang'ana kufanya application ya education, nilifanya ya health, wananiambia tayari Niko registered sasa nifanyeje wakuu? Ina maana hawaruhusu Ku apply education wakati ume apply health?
umeapply lugalo, kibaha, muhimbili?Sio
Mimi ni mvulana.... nursing wapo boys kibao ndio maana sikushangaa
Udom wanatoa diploma ya pharmacy na medical laboratory???Hata mimi imenitoka 20000.... kumi UDOM wenyewe... kumi UDOM NACTE..
1.nursing
2.pharmacy
3.lab technology
4.telecommunication
5.gis& remote sensing
Huku NACTE ... nursing and Midwifery.
Hivi tarehe 14/9 waliosema watatoa majibu je inaweza kuwa mapema kabla ya hapo....Fanyeni marekebisho ya mwisho ( in terms of choices of courses, where to study, etc) leo ndio deadline ya kuomba vyuo vya diploma/certificate.
Kuwa macho na mitandao, inaweza kukata while on the last key for SEND! And you will be done. Jipe muda kuwa say mwisho ni saa sita mchana nikamilishe kila kitu.