huwez kosa asilani kama umeomba vyuo vya kawaida visivyo na ushindani watu wana 2.5 di 3 wanaingia mwaka wa 2. kikubwa na A level uwe na principal 2 andaa tu ada maana kupata mkopo itakuwa 10/100 waliomaliza form 6 zaidi ya miaka 2 ilopita

Principal 2 za A-level sio kigezo kikubwa kwa walioomba kupitia nacte!mchuano wake mkubwa utakuwa kwa wenzake wenye ufaulu mzuri mno wa O-level na katika hiyo GPA yake