mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
hatari
Bahati mbaya sijawahi kumkubali kama ni kipa bora. Uwa anafungwa magoli ya kijinga sana.
Tiba
Kweli kabisa, anamakosa mengi sana yanayofutwa na usakaji wa baadhi ya mipira lkn si kipa wa kumtumainia ktk mashindano kama ya uefa yenye washambuliaji Kama mess, Ronaldo , lewandoski etc
Yaani huyu dogo sina hamu naye, enzi zile amesajiriwa alikuwa anatufungisha magoli mengi kweli yakipuuzi, hadi washabiki wakawa wanamuona kama ferg anahujumu timu kwanini asimutimue, akamvumilia leo ameweza imekuwa shida, anakuwa na majipu!!!! ila kwa msimu huu ametuokoa sana!!Kinachomfanya aione man utd haifai najua ni wakala wake, lakin ole wake
hata huyo aliyeko pale Madrid sasa alikuwa mkali, atakuja juta.
Hivi watu wengine hawaigi kustaafu soka kwa heshima kama Van de sar? Hiki Kizaz cha enzi za Kikwete hatari sana
View attachment 252292
Wachezaji wa Kihispaniola waliokuzwa katika miji ya Barcelona au Madrid huwa hawapendi sana kukaa nje ya nchi yao Spain...
Hilo lipo pia kwa wachezaji wa Kijerumani...
mkuu BAK unafikiri atamudu mikiki ya hispania. Na hatajutia kuihama MANU?Hilo ni kweli kabisa, nyumbani kuna raha yake halafu huyu na LVG ngoma haipandi sijui walitibuana kwenye lipi. Pamoja na MANU kumpa bulungutu kubwa kagoma kumwaga wino kwenye paper anataka arudi kwao akadakie Real Madrid.
Hilo ni kweli kabisa, nyumbani kuna raha yake halafu huyu na LVG ngoma haipandi sijui walitibuana kwenye lipi. Pamoja na MANU kumpa bulungutu kubwa kagoma kumwaga wino kwenye paper anataka arudi kwao akadakie Real Madrid.
mkuu BAK unafikiri atamudu mikiki ya hispania. Na hatajutia kuihama MANU?