Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
DIEGO Maradona ameripotiwa kumtema mchumba wake, mrembo Rocio Oliva, baada ya kugombana kuhusu kipa wa Manchester United, David de Gea, linaripoti gazeti la Sunday People.
Staa huyo wa zamani wa Argentina, amekuwa akimtuhumu mchumba wake huyo kwamba amekuwa akijigonga kwa kipa huyo wa Man United na timu ya vijana ya Hispania.
Kwa wivu, Maradona aliamua kuingia kwenye ukurasa wa Twitter na Facebook wa mrembo huyo wa miaka 23 na kukutana na meseji za De Gea, ambaye pia ana umri wa miaka 23.
Maradona alimvisha pete Ricio Siku ya Wapendanao, lakini kwa sasa mrembo huyo amerudi Buenos Aires baada ya kutibuana na Maradona huko Dubai.
source : mwanaspoti.