de-beaking ni unyanyasaji wa wanyama (kuku). solution ya hilo ni kuhakikisha kuku wako unawapati madini ya chuma (iron) kwa kuwapa vyakula vyenye mchanganyiko wa dagaa, na mifupa iliyosagwa. kamwe usikate kuku wako midomo (ni poor methods of keeping poultry).