DDD kwa combination ya HGE

isaacsendama

Member
Feb 21, 2016
76
21
Habar zenu wakuu? Hvi kwel naweza kwenda kusoma Udsm kwa dv 2 ya 12 especially coz ya Bachelor of Science in Agricultural and natural resources economics and business administration?
 
Hii kozi UDSM wapo competent kweli? Kwanini usiombe SUA kama una interest kwenye fani hiyo? Au SUA competition ni intense zaidi?

Nackia hata Ud hii coz iko vzr Na Admission point yake inaniruhusu kwnda pale au udsm hawachukui dv 2 za 12?
 
baada ya kutemwa ndio akili itakuja kichwani sasa hivi bado mnataka kwenda UDSM kuwaoshea wenzenu chuo chenyewe cha kizamani hicho basi tu ushamba wenu vijana.
 
Nimesoma xana kuna kozi nyingi zinaruhusu uwe Na admission point 4 Na mm tyar ninazo, sema Nina wacwac kutemwa ndo maana nikaomba uxhauri wenu
Kuwa na minimum qualification haikupi uhakika wa kupata
Utalinganishwa na wenzako walioomba hiyo kozi
 
Shida ya wanafunzi wengi mnataka kusoma kwa show off, mnang'ang'ania course zilizowazidi vigezo, mtu anang'ang'ana asome UDSM au SUA wakati matokeo mabovu.

Bad enough umesoma HGE, hesabu hukusoma bado unataka course za science, are you serious? ,ww wa HGE ungesoma BBA,BAEC etc ungefanya vzur zaidi.
 
Dah mkuu vijana wetu hawa wa miaka hii tabu tupu ila mi anafikiri angeachwa tuu ajaribu ili ajionee mwenyewe hali halisi kuhusu competition ilivyo.
Akishaona round zinakatika hachaguliwi nafikiri akili itamkaa sawa mana naona amekuwa mzito kushaurika ,hebu acha ajaribu.
 
Wewe umekuja kutupa taarifa kama unataka kwenda udsm ila sio kuomba ushaur!! Umeshaur kama unataka mambo ya Agriculture nenda SUA wako vzur sana!! Ila apply kwanza udsm ukshatemwa round ya 1 na 2, akil zitakuja tu
 
NAKUSHAURI KAMA WENGINE WALIVYOTANGULIA KUWA HGE NA SCIENCE NI MBALI SANA PLUS MATOKEO YAKO JAPO SIO HABA. CHA MSINGI AKIKISHA CHUO UNASOMA UNACHOWEZA KUMUDU MIAKA YAKO YA BAADAE USICHUKUE COURSE KISHABIKI KISA UNATAMANI TU KUWA NA UBOBEZI FULANI AU KUPATA USHAWISHI PIA. TULIA AMUA KUWA KAMA SIKWENDA SCIENCE HIGH SCHOOL BASI CHUO NIFANYE MAAMUZI SAHIHI YA KITU KINACHOENDANA NA KASI YAKO. KAMA PIA SWALA LA KAZI KWA WANA SAYANSI BAADA YA CHUO KUMBUKA KUWA KUPATA GPA ZAIDI YA 3.8 SIO MCHEZO, NA KAMA NI ISSUE YA KUPATA MIKOPO + BOOM UJUE UNAFUATA MAMBO YASIYO YA MSINGI SANA. CHA MUHIMU JUA UNATAKA KUSOMEA NINI KITAKACHOKUPA FARAJA YA NAFSI YAKO NA KUTOWANGUSHA WANAKUTAZAMA NYUMA.
 
Hii kozi UDSM wapo competent kweli? Kwanini usiombe SUA kama una interest kwenye fani hiyo? Au SUA competition ni intense zaidi?
mbona kozi yake Tz haipo( Administration haipo)

Wanachukua wengi utapata!
68E54A6B-D0C5-48D6-A737-BA6F1F0FF5CD.jpeg
 
Back
Top Bottom