DD Zinakupeleka chuo! hapa kazi tu!

DD Zinakupeleka chuo! hapa kazi tu!

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
773
Reaction score
1,087
mambo yanabadilika sana. nilikuwa na CEE ya CBG ila nimeambiwa sipati chuo ngoja nitumie cha Diploma nina G.p.a yangu ya 3.0 kwa kweli kazi ipo!
 
Unamlaumu nani mkuu CEE ni uchafu pora ungepunguza kupata C chemistry ukapata D alafu uyo geography ukapata D maisha mipango s
 
Soma vizuri TCU Admission Guide ya 2019/20. CEE hapo kwa best two courses una (C=3) + (E=1) Jumla una (CE=4 points). Unaomba chuo una vigezo vya kuomba bora isiwe programs za afya. Tahadhari kubwa inakuja kwneye ushindani wewe una jumla ya point 5 (CEE) hivyo uwe mwangalifu kwenye uchaguzi wako.
 
Mimi nina DDD na F ya GS. Nataka kwenda Harvard au Udsm.

Wapi pananifaa ?
 
mambo yanabadilika sana. nilikuwa na CEE ya CBG ila nimeambiwa sipati chuo ngoja nitumie cha Diploma nina G.p.a yangu ya 3.0 kwa kweli kazi ipo!
Kukariri ni kubaya sana. WANASEMA HIVI INAKUPASA UWE NA CUT OFF POINT 4 KTK MASOMO MAWILI MFANO WAKE NI DD AU VINGINEVYO.

RUDI USOME BARABARA MWONGOZO WA TUME.
 
Soma vizuri TCU Admission Guide ya 2019/20. CEE hapo kwa best two courses una (C=3) + (E=1) Jumla una (CE=4 points). Unaomba chuo una vigezo vya kuomba bora isiwe programs za afya. Tahadhari kubwa inakuja kwneye ushindani wewe una jumla ya point 5 (CEE) hivyo uwe mwangalifu kwenye uchaguzi wako.
Sahihi mkuu..

Hivi unajuaje sasa km unachokichagua hakina ushindani?
 
Kila program ina ushindani wake lakini zinapitana. Hapa historia ndio hutoa msaada. Kwa mfano medicine na pharmacy zina ushindani mkubwa na nafasi sio nyingi. Utasikia kuna wenye div 1 wamekosa. Pia angalia chuo unacho chagua, vijana wengi kwa mfano hupenda kwenda kusoma UDSM matokeo yake ushindani unakuwa mkubwa ingawa hata wenye div 3 hupenya huko ukijua program isiyo na ushindani. Bahati mbaya vyuo karibu vyote haviweki ufaulu wa wale walio wadahili, UDSM ilikuwa inafanya hivyo hapo nyuma hivyo ilikuwa rahisi kuona ushindani wa degree zake.
 
Poa poa mkuu ngoja ajichomeke kwenye kozi nyepesi zaid... Hizi sayans na education naona ushindan mkubwa saana

Back
Top Bottom