GE2025 DCP Misime: Serikali imetuwezesha vifaa vya kuwashughulikia wanaohamasisha uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, amesema kuwa Serikali imeviwezesha vyombo vya ulinzi na usalama vifaa vya kutosha na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na watu wanaopanga au kuhamasisha vitendo vya uhalifu nchini.

Soma: DCP Misime: Tuwakemee wanaohamasisha uhalifu

DCP Misime amesema Jeshi la Polisi halitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote wanaojihusisha na vitendo vya uchochezi au kujaribu kuhamasisha wananchi kuvunja amani.

Bila shaka katika vifaa hivyo vipo vya kushughulikia tatizo la utekaji na upatikanaji wa waliotekwa na wanaoteka?
 
Back
Top Bottom