DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Akizungumza katika kipindi cha Malumbano ya hoja cha ITV Oktoba 9, 2025 msemaji wa jeshi la Polisi nchini David Misime amekuwa kuwa katika kipindi cha uchaguzi na mchakato wake kunaendelea vizuri na kwa ujumla hali ya nchi iko vizuri na usalama wakutosha.
Kwa lugha Rahisi msemaji yeye haoni utekaji wala vurugu kiufupi tupo nchi ya ahadi.
Kwa lugha Rahisi msemaji yeye haoni utekaji wala vurugu kiufupi tupo nchi ya ahadi.