Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Aliepanga hoja ametumiwa vijana wasiojulika kummalizaHivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
kwa akili ya kilumumba lkn kimsingi anajitahidi sana hakuna utawala unaodumu milele labda kama hujawahi soma historiaHivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Afu utakua umefaidika nn, matusi amekutukana ww au katukana wazazi wako,... Unawashwa wwHivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo:Uhuru
My take:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.
Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!
Yule binti siku Magu akimtia mikononi mwake sijui atamfanya kitu gani aisee.Heheheh Mange bana ndugu zake atawazika kwa whatsapp
Ukweli ni upi?na usioukweli ni upi?atakaposema ukweli wataukubali kuwa huo ndio ukweli wenyewe?.Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa
kwani yeye lisu ndo wa kwanza kuumizwa?mpaka imuume kila mtu mangapi yashawapata ndugu zetu jana tu Maj General wetu naye kapigwa risasi kwa hiyo usituchagulie namna ya kuzungumza au kuumiaMbona hawa watu wanakuwa wajinga? Mtu kaumizwa bado mnastick kaigiza...shame on u!
Umechangia...umeongeza post!tangu msikie watu wakitumia maneno "shame on you" basi imekuwa fassion, kila sehemu mnayapachika tu.
Pambafff!kwani yeye lisu ndo wa kwanza kuumizwa?mpaka imuume kila mtu mangapi yashawapata ndugu zetu jana tu Maj General wetu naye kapigwa risasi kwa hiyo usituchagulie namna ya kuzungumza au kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kushangaza unaweza kukamatwa wewe kwa uchochezi kabla yakeHivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tangu msikie watu wakitumia maneno "shame on you" basi imekuwa fassion, kila sehemu mnayapachika tu.
Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo:Uhuru
My take:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.
Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!