DCI, sema neno wana CHADEMA tuelewe

DCI, sema neno wana CHADEMA tuelewe

Nyarongi

Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
19
Reaction score
6
MBUNGE WA ILEMELA Mhe Kiwia Highness alinusurika kuuawa na watu waliomshambulia walitajwa pelelezi umefikia wapi?
 
MBUNGE WA ILEMELA Mhe Kiwia Highness alinusurika kuuawa na watu waliomshambulia walitajwa pelelezi umefikia wapi?
atakujibu CDM wanajiteka na kusurubiana wenyewe kwa wenyewe!! so hilo haliko kwenye scope yake ya kazi.
 
Jukumu la ulinzi na usalama wa Tanzania, ni la watanzania wenyewe. Kila mtanzania na hasa kila mzalendo na kila mjamaa. Hapa wakija, jitetee, ukisubiri DCI, inakula kwako. Ndiyo maana kila siku wanalia na wananchi wenye hasira kali, kwani wananchi wanajichukulia sheria ili kujilinda wenyewe.
 
DCI Ameelemewa na kazi,mafaili yakiingia hayatoki!manumba kisharudi toka india?
 
Back
Top Bottom