DCI Mwaitenda Road iwekwe Lami

DCI Mwaitenda Road iwekwe Lami

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,628
Kwa Heshima na kumbukumbu ya Uzalendo wa Mkurugenzi wa zamani wa Upelelezi hayati Arther Mwaitenda ni vema barabara iliyopewa Jina lake pale Bahari beach Ununio iwekwe Lami

Ikumbukwe Mzee Mwaitenda ndiye aliwezesha kujenga Kituo Cha Police Bahari beach japo alipofariki baadae Shughuli zake zikahamishiwa Mbweni na pale kuwa ofisi za Serikali ya Mtaa wa Bahari beach

Ahsanteni Sana
 
Back
Top Bottom