DC Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu matatani kwa kumpigia kampeni mgombea wa CCM

Ndiyo maana sir learf kafukuzwa chamani
 
Nec na madc ni pipa na mfuniko wote ni makada na wapiga debe wa ccm...alishasema hao anawalipa mshahara kwahiyo lazma wafanye yeye atakalo
 
 
Je Tume ya UCHAGUZI mnasemaje juu ya alichokifanya DC Wa Siha cha kumpigia KAMPENI Mgombea Wa CCM?
 
Acheni Visingizio vya Kike!
Mmeamua kwa hiyari yenu wenyewe kususia uamuzi wenu wa kususia Uchaguzi so pambaneni sio kulia lia
 
yule askari aliyepiga picha na mh. mbowe... nakumbuka alifukuzwa sababu alijihusisha na ushabiki wa kisiasa...

inawezekana kushabikia ccm kwa mtumishi wa serikali ni huru kisheria....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…