hamisi juma muhammad
Member
- Nov 17, 2016
- 8
- 5
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sisi madiwani wa wilaya ya Hai tunaomba umchukulie hatua huyu mkuu wako wa wilaya Bwana Gelasius Byakanwa kabla sisi waheshimiwa madiwani hatujamfukuza.
Huyu tunashindwa kujua amekuja kujenga au ametumwa kuja kutuharibia halmashuri yetu.
Ni siku moja tu imepita aliwaita wahandishi wa habari na kuwatangazia kuwa bajeti ya wilaya 2017/2018 haijapitishwa, lakini sisi waheshimiwa madiwani na mwenyekiti wa Halmashauri TULIJADILI NA tulipitisha bajetu yetu vizuri tu. Tunashangaa kuja kusikia kwenye vyombo vya habari kuwa DC ametangaza kuwa bajeti ya wilaya haijapitishwa.
Yeye ni nani katika kutipisha bajeti.na swala jingine katika bajeti ya Halmashauri yeye ni mshauri au ni mtaalamu. Huyu DC nadhani hajui majukumu yake wala mipaka yake ya kazi kwakweli.anatafuta umaarufu wa kipuuzi kwenye vitu visivyo muhusu huyu bwana.
Tumepata malalamiko kutoka kwa watumishi pia kuwa ana tabia za kutukana watumishi wetu wa Halmashauri tunaendelea kufuatilia swala hili sisi kama madiwani na tutakapobaini ukweli wake tutamjadili katika viKao vyetu vya Halmashauri kwakweli. Kila kitu yeye ni waandishi wa habari,Atangaze basi vitu vya kweli na vya maana sasa.
Bwana huyu anahitajika semina elekezi ili aweze kutambua mipaka ya ukuu wa wilaya.
NI MIMI DIWANI MCHA MEMA WILAYA YA HAI