DC wa Same ni mfano wa kuigwa

DC wa Same ni mfano wa kuigwa

Soko lipi, kwaasa? Kuna viongozi wa soko, hawajielew
Sio kwasa... Ni lile la pale Mahuu kwa ajili ya Machinga

Toka wamezindio na Mwenge mwaka jana... Hakuna chochote kilichoendelezwa.... Kulikoni?
 
Sio kwasa... Ni lile la pale Mahuu kwa ajili ya Machinga

Toka wamezindio na Mwenge mwaka jana... Hakuna chochote kilichoendelezwa.... Kulikoni?
Mbaya zaidi lipo chini ya nyaya za grid ya Taifa,pembeni kuna korongo kubwaaaaaaa
Yaani hawa jamaa hawajielewi kabisa,waliulaza pale Mwenge usiku kucha,mpaka leo hakuna kilichofanyika,huu mwenge tukisema ulazwe makumbusho watu wanabisha,miradi fake kibaooooo
 
Amekuja ile wilaya, mchango wake umeonekana katika kuhamasisha maendeleo ya miundo mbinu, ujenzi wa keep left, vilevile kama ni mtu mwenye akili, unaona future plans zake tu. Ni mtu anayetaka ku-weka a mark to remember
Kwani DC anafungu gani la kuleta maendeleo kama sio porojo tu.Akwende zake.
 
Sio kwasa... Ni lile la pale Mahuu kwa ajili ya Machinga

Toka wamezindio na Mwenge mwaka jana... Hakuna chochote kilichoendelezwa.... Kulikoni?
Wafanyabiashara wamepewa fursa wameshindwa kuitumia
 
Mbaya zaidi lipo chini ya nyaya za grid ya Taifa,pembeni kuna korongo kubwaaaaaaa
Yaani hawa jamaa hawajielewi kabisa,waliulaza pale Mwenge usiku kucha,mpaka leo hakuna kilichofanyika,huu mwenge tukisema ulazwe makumbusho watu wanabisha,miradi fake kibaooooo
Na n hatari kubwa sana..... Ile wangeachaa kama open space nyinginezo tu.......
 
Fursa? Kwa hali hilee ndugu yangu hata ww nikwambiee uende saiv palee utafunguaa kitu
Mkuu Waangalie namna ya kupaboresha, hata kutumia sharia,

NB:MIMI NASIFU JUHUDI ZA DC SINA UKARIBU NAE.
 
'Mimi ukinipangia ndio unaharibu kabisaa'. Mwisho wa kunukuu. Tutaje sifa na mazuri ya watendaji wetu huku tukijiepusha kupendekeza wapangiwe wapi au wawe nani, vinginevyo naona kama tunawachulia!
 
Back
Top Bottom