DC wa Same ni mfano wa kuigwa

DC wa Same ni mfano wa kuigwa

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
996
8971c05037595db8a730110d2aca1e65.jpg

Hamjambo,,

Kwa ufupi tu, huyu dada Hapendi maneno mengi, ni mtendaji, mchapa kazi, hana mambo ya akina ALLY HAPPY,

Nilimsikiliza siku moja wakati nipo ziarani huko Kilimanjaro, ana future, she is positive minded.

Ana plans pana, endelevu, na ni muwazi, si mtu wa kujiboost, kuna watu wanafanya mambo kwa kuonekana ila sio DC HUYU.

Rais hata ukibadilisha badilisha ma dc kama ufanyavyo kwa wizara muache huyu atulie hapo
WASALAM.
 
Hebu tupe mfano wa kazi alizozifanya au kumsikiliza maneno yake ukiwa ziarani umehitimisha kuwa ni mchapakazi?
Amekuja ile wilaya, mchango wake umeonekana katika kuhamasisha maendeleo ya miundo mbinu, ujenzi wa keep left, vilevile kama ni mtu mwenye akili, unaona future plans zake tu. Ni mtu anayetaka ku-weka a mark to remember
 
Itakua unamfahamu vizuri kwa sababu kama ulikua ziarani ila ikapata picha yake akiwa na hao vijana wamevaa jezi sijui ni uwanjani au walikua wanakimbia mchaka mchaka. Mwambie kuwa bado tunasubiri jibu la mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na kanisa katoliki jimbo la same imepita mwaka na mwezi mmoja sasa hamna jibu
Acheni mgogoro jengewe chuo hapo, hamtaki maendeleo nyie vipi
 
Hamzidi Sophia Mjema wa Ilala.. Yule ukichangia na ule weupe sisi watu wa kanda maalumu tunamwona mchapakazi.. Ukiweza mlete ajifunze kwa Anje.
 
Amekuja ile wilaya, mchango wake umeonekana katika kuhamasisha maendeleo ya miundo mbinu, ujenzi wa keep left, vilevile kama ni mtu mwenye akili, unaona future plans zake tu. Ni mtu anayetaka ku-weka a mark to remember
Keep-left cha pale Panone mbona ni project ya karibia miaka mitatu iliyopita?Imetekelezwa tu na bajeti ya 2016/17.

Naona hapo kapiga picha na vijana uwanja wa Kwasakwasa mazoezi ya asubuhi au ndio Angela Kairuki Cup?
Mwambie amalize tatizo la maji Same,mambo ya maji ya kwenye kidumu watu wamechoka,halafu lile soko walilofungua pale Mahuu kwenye mbio za Mwenge mwaka jana lipo karibu na nguzo za umeme grid ya Taifa,watauwa watu kwa umeme,na soko lemyewe limekufa bila hata kuanza
 
Hahahahaha.... Mkuu lilee soko limejaa nyasi tupu.....hata hawaliendelezi
 
Keep-left cha pale Panone mbona ni project ya karibia miaka mitatu iliyopita?Imetekelezwa tu na bajeti ya 2016/17.

Naona hapo kapiga picha na vijana uwanja wa Kwasakwasa mazoezi ya asubuhi au ndio Angela Kairuki Cup?
Mwambie amalize tatizo la maji Same,mambo ya maji ya kwenye kidumu watu wamechoka,halafu lile soko walilofungua pale Mahuu kwenye mbio za Mwenge mwaka jana lipo karibu na nguzo za umeme grid ya Taifa,watauwa watu kwa umeme,na soko lemyewe limekufa bila hata kuanza
Pamoja na hayo, yeye si limbukeni, pia kumbuka hata mnada wa kitamuri kule uliwashinda, kitu kikifnyika vizuri katika awamu yako sifa ni zako.

Maji fungeni mikanda mradi wa nyumba ya mumgu unakuja.
 
Maendeleo kwa kuiba maeneo ya watu? Hao waliochukua hayo maeneo unajua walichukua kwa njia gani? Walimlipa nani fidia? Unajua taratibu kisheria za ardhi kuchukua eneo la mtu bila kumpa taarifa nini kinafuata hapo?

Cc: JokaKuu
Migogoro ya ardhi ipo sehemu nyingi, nenda loliondo, morogoro, nk,
Hayo ni mambo yatakayoamuliwa na sheria, msijazwwe upepo na watu wachache.
 
Hamzidi Sophia Mjema wa Ilala.. Yule ukichangia na ule weupe sisi watu wa kanda maalumu tunamwona mchapakazi.. Ukiweza mlete ajifunze kwa Anje.
Huyo atakuwa anaelement za akina aly hapi, kujionyesha, jery muro type
 
Poa, sasa mwambie alifuatilie hilo swala maana nilienda ofisini kwake akasema analifanyia kazi ila naona kimya tu mpaka leo sasa sijui analifanyia kazi kweli au anaongea maneno matupu
Mgogoro wa ardh si kitu cha kukurupuka
 
Back
Top Bottom