Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Akamate wapinzani ndiyo sifa no moja kwa utawala wetu.Hizo ndo habari tunazotaka kusikia mheshimiwa DC. Uteuzi mwngne utapiga uRC. Saiv tafuta wananchi waliopigia kura upinzani na uwakere kwasana.
Thank me later
awakere kivipi, awatandike risasi au niaje mkuu, umeanza vizuri ila mwisho umekorogaHizo ndo habari tunazotaka kusikia mheshimiwa DC. Uteuzi mwngne utapiga uRC. Saiv tafuta wananchi waliopigia kura upinzani na uwakere kwasana.
Thank me later
Kabisa mkuuAkamate wapinzani ndiyo sifa no moja kwa utawala wetu.
Yani sehemu yenye diwani wa ukawa au mbunge wa upinzani ahakikishe tunaanzisha miradi mipya ya barabara na nyumba ziende chini mara mojaawakere kivipi, awatandike risasi au niaje mkuu, umeanza vizuri ila mwisho umekoroga
Wale wa povu watakuja sasa iviNchi inanyooka kwa kweli.
Kazi ya DC ni nini kwa mfano? Kujaa kimya nalo ni jibu,u DC wa awamu hii sio wa kipindi cha viongozi waliopita hapa kazi tuHiyo ni kazi ya DC? Baada ya serikali hii kuondoka madarakani kuna watu wengi sana watatajirika kupitia fidia kwa ajili ya haya matamko na mihemuko inayoonyeshwa na kutolewa na watu wasio na mamlaka.
Anayejiita ana uchungu na nchi ndiye anaipeleka nchi kwenye mahasara makubwa kuwahi kutokea katika historia ya bara hili
MAJUKUMU YA MKUU WA WILAYAKazi ya DC ni nini kwa mfano? Kujaa kimya nalo ni jibu,u DC wa awamu hii sio wa kipindi cha viongozi waliopita hapa kazi tu
Izo sheria ni za miaka ya 60-70,apo nimekumbuka kulikuwa na sheria ya matunzo ya mtoto ilikuwa inasema kwa mwezi baba atoe sh 100 kama matunzo halali ya mtoto je 100 inatosha kwa maisha ya sasa huo natoa kama (mfano tu) ndo maana nasema viongozi wanaoteuliwa sasa na awamu hii ya hapa kazi tu lazima wajiongeze,hakuna sehemu DC atashtakiwa kwa sababu kambana mfnanyabiashara aliyekuwa anakwepa kodi halali ya serikal na kabla hawajaanza kazi wanakuwaga na semina piana kwenye hizo semina lazima poa wasisitiziwe hayo.na huko tuendako itabidi kiundwe chombo maalum cha kufuatilia kodi,kiwe tofauti na wakusanya mapato TRA.,taratibu tutaelewana tu kwa sbb mda bado tunao.MAJUKUMU YA MKUU WA WILAYA
(i) Kumweka mtu kizuizini kwa muda wa saa 48 mfululizo iwapo atashukiwa kuwa ni mhalifu au anayehatarisha hali ya utulivu na Amani (Sheria ya tawala za mikoa Na 19/1997)
(ii) Kufungisha ndoa za serikali (Law of Marriage Act No 5/1971)
(iii) Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, kuwa mwenyekiti wa Kamati yaMkoa inayochambua maombi ya watu wanaotaka kuuza madawa ya sumu (Pharmaceuticals and Poisons Act No 9/1978)
(iv) Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, kuongoza Kamati ya kusikiliza rufani za leseni za biashara mkoani (Business Licensing Authority Act No 25/1972, ib. 1)
(v) Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya leseni za vileo (Intoxicating Liquours Act No 28/1968)
(vi) Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, kuteua wakaguzi wa magereza (Prisons Act No 34/1967, ib. 100)
(vii) Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, kuwashughulikia watu wanaodhaniwa kuwa ni wachawi (Witchcraft Ordinance Cap 18)
(viii) Kuwa mhimili msaidizi wa Halmashauri za Wilaya (Sheria Na 7/1982).
(ix) Kuwa mwenyekiti wa Kamati mbalimbali zitakazoundwa Wilayani.
(x) Kuhudhuria vikao vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kamamjumbe
(xi) Kushughulikia malalamiko ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi
(xii) Kumsaidia Mkuu wa Mkoa katika kuzisimamia Halmashauri za Wilaya na kuhakikisha kuwa zinatoa huduma nzuri kwa wananchi na kwa ufanisi
(xiii) Kuziwekea Halmashauri za Wilaya mazingira mazuri na kuhakikisha kuwa zinatekeleza majukumu yake kulingana na sera za serikali.
(xiv) Kutekeleza majukumu yote atakayopewa kisheria au kukasimiwa na Mkuu waMkoa.
Acha ujinga pse....!!Kazi ya DC ni nini kwa mfano? Kujaa kimya nalo ni jibu,u DC wa awamu hii sio wa kipindi cha viongozi waliopita hapa kazi tu
Acha ujinga pse....!!Kazi ya DC ni nini kwa mfano? Kujaa kimya nalo ni jibu,u DC wa awamu hii sio wa kipindi cha viongozi waliopita hapa kazi tu
Ukiwa kwenye ile idadi ya 12,000 bado utakuwa una mawazo hayo, DC hawezi shtakiwa popote kwa kujiongeza na kutafuta mapato ya serikali ndo kwanza Mh anawapandisha cheo kuwa ma RC we kaa apo ukiniambia unyumbu wako,endeleeni na tafrija ya kulipokea DUMEAcha ujinga pse....!!
Kama DC anakusanya kodi TRA wanafanya kazi gani? Rais mstaafu Kikwete hakuwa mjinga kuwapa Semina elekezi viongozi walokuwa chini yake!!
Kama DC anafikiriia kufunga hoteli atakuwa ni kibuyu wazi asiyejua ABC za uchumi hata kidogo.........!!!
Huwezi kufunga hotel yenye thamani ya mabilioni kwa deni lla 30mil Tsh huo ni uwendawazimu....