Naye asibweteke tu, lazima ajipitishepitishe na kutabasamu kwa wakubwa ili wamuone!
DC ni kada wa CCM according to Pinda... Kwa hiyo NIMEFURAHI SANA kwa huyu gamba kufa, it is a good news.
naye asibweteke tu, lazima ajipitishepitishe na kutabasamu kwa wakubwa ili wamuone!
Wacha magamba yafe, kwani ndio wanaotusababishia maisha magumu kwa tamaa zao za matumbo yao.
hoja siyo kujipitish n tabasam.bali sura anayo, akitabasam ndo kama analia nani amtake? Awapelekee wamasai hy sambusa yke .
pole wasifiwa amefariki kwa tatizo gani
DC ni kada wa CCM according to Pinda... Kwa hiyo NIMEFURAHI SANA kwa huyu gamba kufa, it is a good news.
hebu fikiria angekuwa mama yako au dada yako???? ungesema hivi???
Mkuu wa wilaya Urambo Bi. Anna Magoha amefariki dunia. Source TBC.