weka chanzo cha habari.ila kama ni kweli haitakuwa mara ya kwanza kwani hata mnadhimu mkuu wa majeshi SAMWEL NDOMBA naye alishakuwa mkuu wa mkoa na kurudishwa jeshini na kupandishwa vyeo haraka haraka.KUNA NAFASI INAACHWA WAZI ANAENDA KUZIBA

Watumishi wote wa umma wa serkali kuu na serikali za mitaa wanatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani duniani kote, hivyo kwasasa kwa Tanzania wanatekeeza ilani ya CCM.Ni kwele kwa asilimia kubwa viongozi haswa wa kijeshi wa miaka hiyo ya zamani kwa namna moja au nyingine ni watumishi wa CCM, TANU Youth League ndio ilikuwa inaamua ajira yako. Ndio maana tunahitaji katiba mpya. Baada ya 2015 huenda unayoyataka yakatimie, tufanye kazi.Kwa maana hiyo, Askari wetu wanatumiwa vibaya na chama kilichoko madarakani. Wanatumiwa kivipi? Kwa sababu wakiwa wakuu wa mikoa ama wilaya watatekeleza "ILANI" ya chama kilichoko madarakani na watakuwa ni sehemu ya chama hicho.. Sasa wanaporudishwa Jeshini, si wanakuwa bado na viji-elements vya hicho chama? Je wataweza kweli kuilinda katiba endapo chama kilichopo madarakani kitapumzishwa kwa kutumia sanduku la kura?. Nadhani kuna tatizo kidogo hapo! Na tuwaache askari wetu wafanye kazi zao za kulinda usalama wa taifa letu na watu wake, wasizifanye kazi za kisiasa!
Just thinking ......