Asante mdau kwa taarifa hiyo.Nikiacha skendo hiyo, Hakika Ngara tulishapatikana. Hawa watutunao letewa wanaoteuliwa kwa hisani na zawadi kutoka kwa Rais safari hii imetugharimuwanangara sijawahi kuona. DC huyu ana vitibwi vingi.1. Kwakinywa chake amekuwa akiongea hadhalani (achilia mbali kuonyesha hisia) kukelwana wafugaji huku akipendelea kilimo. Lakini hili amelifanya makusudi naamelitumia kama turufu (gia) ya kuingiza wasukuma (nduguze…..) katika maeneomengi na yenye rutuba ya Wilaya ya Ngara hususani Tarafa za Rulenge naMurusagamba. Amemwaga wasukuma wengi maeneo hayo kwa kisingizio eti ni wakulimakumbe ni wafugaji. Maeneo yanaombwa kama ya kilimo lakini maelfu ya ngombeyanazidi kutililika kuingia wilaya ya ngara na wasukuma hao hao anao jifanyakuwachukia kupitia mifugo lakini anawaingiza kama wakulima. Kanyasu ni Joka kwawanangara. Wakulima wasibweteke eti anawapenda wakati ARDHI ANAIGAWA kwa WAGENI. Anajifanya kuwachukia wafugaji ilihali anahamasishawafugaji hao hao wacgangie shughuli za maendeleo kwa viwango vikubwa kulikoupande mwingine (mfugaji achangie 95% mkulima 5%) why????
2. Hivisasa kuna wimbi la wizi wa mifugo. Makumi kwa mamia ya ng'ombe yanaibwa na kutokmeakusiko julikana. Inasemekana wanapakiwa au kuswagwa kupitia njia halalizinazotambulika mfano mipakani mwa wilaya zinazo zunguka Wilaya ya Ngara mfano Kabanga,Rusumo, Murusagamba, Nyakahura, Nyakanazi, Lunzewe, nk. Na maeneo yote hayoyana vizuizi. Trick inayofanywa na wahalamia hao ni kuchanganya ng'ombewalioibwa na wale walio nunuliwa kwenye minada iliyopo wilaya za Ngara,Bihalamulo etc. Swali ni je, yeye kamamkuu na mlinzi wa Amani wa wilaya amefanya juhudi gani kupeleleza, kusaka, kukamatana kuwawajibisha wahusika kisheria? Idara ya Mifugo wilaya Ngara imefanyajuhudi gani kutokemeza vitendo hivi? Hapa tunaomba uongozi wa Mkoa wa Kagerakuingilia kati kukomesha wizi huu, uhusika wa Mkuu wa Mkoa ni muhimu kwaniwimbi hili la kutisha limeanza baada ya kuwatimua waliokuwa wavamizi, wananchiwanao ishi nchini kinyume na taratibu za Nchi, hawa hushirikiana na watanzania.Hawa bado wamo na wanarudi kwa kasi ya ajabu kuliko ile iliyoawaondoa! Operation iendelee, Tanzania tu mabigwa wa kuanzishavitu / program na kuziacha njiani. Mpango wa kuondoa watu hawa si wa kuwa mudamfupi inatakiwa kuwa Nonstop/ Progressive at all times. Mbaya zaidi wapo baadhiyao ambao wamejibanza kwenye miji/familia za viongozi wa serikali (watendajijiji, kata na wenyeviti wa vijiji etc.) Mifano ipo hai na ya aina yake Mkuu waMkoa wa Kagera afike Kata ya Kasulo wilaya ya Ngara atapata taarifa sahihi zahaya ninayo yabainisha hapa
Wadau wengine wanaotakiwa kusaidiakudhibiti wizi wa mifugo ni pamoja na Chama cha wafugaji kanda ya ziwa (‘WAKAZI'),Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, wakuu wa wilaya za Kibondo, Kasulu etc.