GE2025 DC Msando: Nikigundua anayehamasisha maandamano anatoka Ubungo, nitakula naye Sahani moja

GE2025 DC Msando: Nikigundua anayehamasisha maandamano anatoka Ubungo, nitakula naye Sahani moja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Wakili Albert Msando, amewataka wananchi wa wilaya hiyo na Watanzania kwa ujumla kuondoa hofu kuhusu taarifa za uwepo wa maandamano Oktoba 29, akisisitiza kuwa siku hiyo kutakuwa na amani na shughuli zitaendelea kama kawaida.

Soma: DC Msando: Hakuna atakayeleta Nyonyonyoo Oktoba 29, halafu tumuangalie tu!

Msando amesema Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia pamoja na mali zao.

Aidha, Msando amesema hakuna Mtanzania atakayeandamana, kwani wanaotoa vitisho mitandaoni ni mtu mmoja anayemiliki kurasa nyingi kwa majina tofauti, na hata hayupo nchini.

Amesema lengo lake ni kuwakatisha tamaa wananchi ili wasijitokeze kupiga kura.

 
Safari hii waking Heche, Mnyika na wapinzani wote wa kweli wamepakaa pembeni.

Wanaohamasisha maandamano ni viongozi wenyewe wa Serikali.

DC Msando GenZ wana zawadi yako wamekuandalia kwa kazi nzuri unayofanya yakuhamasisha maandamano.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Haki ya mtu maana yake anaweza kuamua kuitumia au kutoitumia hivyo naye asihamasishe watu kwenda kupiga kura maana nao wana sababu zao kama walivyo wanaotaka kuandamana.
 
Huyu kenge akili yake yote ameihamishia tumboni. Anajua fika asipobweka bweka, atajikuta yuko mtaani kama mwenzake Jerry Muro.
 
Haki ya mtu maana yake anaweza kuamua kuitumia au kutoitumia hivyo naye asihamasishe watu kwenda kupiga kura maana nao wana sababu zao kama walivyo wanaotaka kuandamana.
Hakuna haki, wewe unajuwa humo kwenye wanaharakati kuna Mamba na kenge huku wakijinadi maandamo ya amani hapo hapo unawasikia watatukoma, choma magari sijui tutawakata vidole na yupo yule kiongozi wa Saliva mjiandae kukimbia ni vitisho tu, sasa waache waingie barabarani ndio watajuwa nini maana ya mitandao na nini uhalisia.
 
Hakuna haki, wewe unajuwa humo kwenye wanaharakati kuna Mamba na kenge huku wakijinadi maandamo ya amani hapo hapo unawasikia watatukoma,
Kwahiyo wewe ni kama nani kunipangia mimi jinsi ya kufikiri na kuamua?
choma magari sijui tutawakata vidole na yupo yule kiongozi wa Saliva mjiandae kukimbia ni vitisho tu, sasa waache waingie barabarani ndio watajuwa nini maana ya mitandao na nini uhalisia.
Jifunze kwanza kuandika ndio tujadiliane.
 
Kwahiyo wewe ni kama nani kunipangia mimi jinsi ya kufikiri na kuamua?

Jifunze kwanza kuandika ndio tujadiliane.
Kama hutaki kuambiwa basi ungepanga na mke wako chumbani, kwa kuwa umeamua kuweka mawazo yako humu utajibiwa humu.
 
Back
Top Bottom