DC Makonda kwenye kipindi cha mboni show katoa ushuhuda wa familia iliyodhulumiwa kiwanja, mkasa huu umenitoa machozi, natamani ni pate hata mpesa ya makonda nimtumie pesa aipelekee hiyo familia.
mi ccm haina tofaut na mamba makonda tapel tu na toothless dog,halaf hata hayo machoz yako fake tu hata hayana ladha ya chumvi! Hiyo mmpesa unamtumia makonda au wahanga?
DC Makonda anasema ukibabaishwa na mtumishi wa umma ametoa namba yake mpandie hewani. Amasema kuna majitu yamekaa ofisini bila wito wa utumishi wa umma anataka kula nayo sahani moja.
Hamna mwana siasa kijana mwenye siasa za kisanii kama makonda
Ndio maana muda mwingi washauri wake wamekuwa wasanii wa bongo movie
Simwelewagi kabisa huyu mtu,Kwa huu mwaka lazima atawaombaa wazee wote radhi.JK ndio huyo yupo kwenye dakika za nyongeza kipenga kinalia muda wowote.
DC Makonda kwenye kipindi cha mboni show katoa ushuhuda wa familia iliyodhulumiwa kiwanja, mkasa huu umenitoa machozi, natamani ni pate hata mpesa ya makonda nimtumie pesa aipelekee hiyo familia.
DC Makonda anasema ukibabaishwa na mtumishi wa umma ametoa namba yake mpandie hewani. Amasema kuna majitu yamekaa ofisini bila wito wa utumishi wa umma anataka kula nayo sahani moja.
Na tapeli wa viwanja Papaa Msoffe kafutiwa kesi ya mauaji hivyo Makonda ajiandae kwa kesi mpya za kudhulumiwa viwanja. Kwa kesi mpya atapata dhamana aje kuendeleza utapeli wake.