DC Makonda akisoma picha ya X-RAY

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,746



Akionyeshwa X-Ray na mmoja ya wagonjwa...​
 
Jamaa akifanya hivi mwanzo mwisho, ataondoa doubts za watu wengi kuhusi uteuzi wake, aangalie isiwe nguvu ya soda tu
 
NgojaEL apate Uraisi,tutajua utendaji wake
 



Akionyeshwa X-Ray na mmoja ya wagonjwa...​

Hawa madaktari hawajui hizi ni siri za wagonjwa? au ndio maadili mapya ya kizazi kipya X-ray za wagonjwa zinageuzwa gazeti?
 
siasa bwana raha sana ...hizi mbio za kukimbiza kuku wa watu uonekane unambio halafu mwisho wa siku unaambulia kupewa miguu na kichwa ...tutaona tu. Na mbona ni yeye tu katika DC wote Tanzania amekuja na upepo wa ajbu sana. Kiutendaji..?? Ngoja tuone picha kama kurudisha majimbo kwa mtindo huu tutaona tu.
 
Mambo ya kipuuzi puuzi tu... yeye afanye shughuli za chama haya mengine awaachie watendaji
 
Xray ina utaalam wake haimhusu yeye asikilize majibu (diagnosis)
 
Hata JK alianza kwa kutembelea wagonjwa Muhimbili matokeo yake anamaliza kwa kusafishwa Tezi dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…