kiraza mbunifu
Senior Member
- Aug 25, 2016
- 159
- 128
Wafanyakazi ndiyo wameichoka sana hii serikali tuone tu huko tuendako
Mkuu habari za siku nyingi?Watawala
Ndio maana wananchi walitaka vyeo vya kizezeta hivi vifutwe. Wananchi wanateseka kulipa kodi kwa ajili ya kuwahudumia hawa umbwa halafu yeye anakuja kuwaletea vitisho vyake vya kiQUMER? Mpuuzy kabisa!
Kwa mujibu wa katiba ya ccm , mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya ccm .Wewe naye ni kituko kweli wala hujui nchi inavyoongozwa. Toka mmelpgwa na chadema Basi mmekuwa wa kulalamikia watumishi wa serikali hata pale wanapotekeleza majukumu yao
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw. Andrea Tsere ametoa agizo la kukamatwa kwa wananchi wa kitongoji cha Ngalawale wilayani humo kwa kususia kikao cha mkuu huyo wa wilaya.
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe Andrea Tsere
Akizungumza katika eneo la tukio mkuu huyo wa wilaya ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha wananchi kususia vikao vya maendeleo vinavyoitishwa na serikali ambapo ikitokea tatizo au mradi ukiwa unafanyika katika eneo lao wanakuwa wa kwanza kulalamika kwamba hawashirikishwi.
“Naagiza wananchi wa kitongoji hiki wakamatwe majumbani hadi walipe faini, haiwezekani tuitishe kikao cha kujadili maendeleo yanayowahusu na wao washindwe kujitokeza hii siyo dalili nzuri katika kuwashirikisha mambo yanayowahusu” Amesema Tsere.
Aimbali kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi jambo ambalo amesisitiza ushirikiano ku

Ndio hiyo ndio shida ya kuwapa fadhila! Huyo dogo ndio wale wale! Baba yake sasa yuko Malawi ni Balozi huko! Hizo ni fadhila......hamna kitu kichwani!! Nguvu haijawahi kushinda kwenye demokrasia!! Ushawishi tu kwa wananchi ndio silaha pekeeeHivi huyu Tsere ni mtoto wa Mzee Tsere,aligombea Ubunge Jimbo la Karatu 2005 na baadae akawa Mkuu wa Wilaya ya Ilala?
You are ironically right to call him her!!!!Having the authority to take people behind bar for 48hours does not give you the authority to do what she is saying......i pity her because when those people unleash litigation against her action they are going to win as it is not mandatory for the people to attend such meetings
Kwa mujibu wa katiba ya ccm , mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya ccm .[/QUOT]
Japo si lazima ila ndivyo ilivyo kwa baadhi ya wakuu wa wilaya. Tatizo lipo wapi ambapo shaka yako ilipo