barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Hivi ndivyo alivyoandika DC wa Iringa kuhusu uchawi Wilayani kwake
"Tarehe 8/05/16 Nilifika Shule ya msingi USENGELINDETE baada kusikia malalamiko kuwa watoto wanadondoka kwa uchawi. Pia kuna jiwe ndani ya darasa linasumbua walimu na mti una waka usiku. shule hii ipo km76 toka Iringa Mjini. Niliambatana na wachungaji pamoja na sheikh. Mkutano ulienda vizuri wazazi walikuwa wwazi sana pia walitajwa watu wawili ambao wanadhaniwa kuhusika, mmoja dada ambaye aliwahi kufukuzwa hapo kijijini. Pia nilizungumza na mtoto aliye wahi kudondoka naye alisema alidondoka tu ghafla baadae alipo fika nyumbani alipona. Tulikubaliana na wananchi sasa mwisho sote tuwampende watoto."
Katika picha hizo zilizoambatanishwa,DC Iringa amekaa pembeni ya "jiwe linalowasumbua" walimu,mtoto aliyedondoka kwa "uchawi" na wanakijiji waliotoa malalamiko ya uchawi.Kijiji hiki kimekuwa kikimbiwa na watumishi wa serikali kama walimu,mauguzi na madaktari kwa kuhofia usalama wao
Ndindiiiii ndiii.......