DC Hapi ndani ya Hot Mix saa 1:30 usiku leo

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
DC HAPI NDANI YA HOTMIX SAA 1:30 USIKU LEO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi atakuwa katika kipindi cha Hotmix cha EATV usiku wa leo akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo wilaya ya Kinondoni.
 
Huyu DC anafanya kazi kupitia redio kila siku..mara clouds.mara wapi bora magufuli angeniteua mimi tu nisingemuangusha
 
Back
Top Bottom