Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 749
- 1,797
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqaro amekunwa na utendaji kazi wa mkurugenzi wa jiji la Arusha,dr.Maulid Madeni kutokana na kasi yake ya kuppandisha mapato ya serikali na kusimamia vema elimu katika jiji hilo na kupelekea jiji la Arusha kuwa kinara kati ya majiji yote nchini.
Kwa kasi hii natamani hata leo Dr. Madeni awe mkuu wa mkoa wa Arusha.
Daqaro ametoa ya Moyoni katika hafla ya kuwapongeza walimu wa shule za msingi za jiji hilo waliofanikisha jiji hilo kuwa kinara wa elimu kitaifa, iliyofanyika katika ukumbi wa AICC jiji hapa .
Alisema ushirikiano uliopo kati yake na mkurugenzi huyo umeongeza jitihada za mafanikio hayo kwa jiji la Arusha na kuongeza kuwa wilaya anayoiongoza ya Arusha mjini itaendelea kuwa bora daima.