wadau ,naomba kuuliza ni makampuni/mashirika/wizara gani hapa Tanzania yanayotumia;
1.DB2
2.solaris
3.novell
yani si kuwa inatumia hizo zoe ila hata kama inatumia moja kati yz hizo
asante.........
shida yangu ni kujua tu kama kuna kampuni zinatumia hizo maana naona Red hat linux and oracle ndo zinatumika zaidi,ni kutaka kujua tu.....bila shaka nimejibu.....
shida yangu ni kujua tu kama kuna kampuni zinatumia hizo maana naona Red hat linux and oracle ndo zinatumika zaidi,ni kutaka kujua tu.....bila shaka nimejibu.....
Kuwa muwazi usaidiwe mkuu.....ila inshort bado ofisi nyingi zinatumia various linux releases but not unix. ofisini kwetu tunaproject ya kubadilisha windows server to unix(sun solaries) but mail bado exchange server inapiga mzigo. database tunatumia oracle,sql server and mysql not db2 from ibm. cheers
You use Novell too,awesome!
I have an issue with my groupwise may be you can be of help.
For some reason my community na personal mailbox ziko joined.
What does this mean?Chaos!
Any way I can separate the two?You know,have my personal mails stay in mailbox and have the rest in community?