kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,100
- 15,426
ray c alisaidiwa vp daz baba?
Ms.Lincoln hivi unajuwa our project is not over?
Ubuyu hatari sana kaka.Namuomba mungu kila siku wanangu wasije kabisa kuwa wasanii wa nchi hii, hakuna kwenye afadhali iwe music iwe bongo movies yote sawa tu,
Duh inatisha sana. Mko wapi ma-haters wa mawingu fm? Make kila tatizo la msanii mnapenda kulifungamanisha nao hata kama hamna ushahidi wowote mradi waonekane wabaya.
Acha kuwashwa, kuna sehemu yoyote kwenye thread hii imetajwa Clouds au Ruge?
Duh inatisha sana. Mko wapi ma-haters wa mawingu fm? Make kila tatizo la msanii mnapenda kulifungamanisha nao hata kama hamna ushahidi wowote mradi waonekane wabaya.
Mkuu, naona unakuna palipoacha kuwasha eeehh......
tumsaidie kivipi na yuko Wapi sasa?
Nakumbuka Ferooz alimfukuza kundini huyu mshikaji sababu ya kula unga....Leo hii feruz nae gari imewaka inakaribia kuzima kama daz.