Day well spent at On Point BBQ Kitchen....!!!!

Umekula kipaja kimoko kwa hela hiyo ukatupigia picha ya jikoni [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hiyo K vant ndo imeharibu mkuu.... Ungetia Nyagi hapo, daaaaah!!!!!!!
 
Mkuu kama umeidhulumu hela yako, bora hata ungepitia Temeke pale Mish Cafe
 
yeah kama kaungua vile!ila sio mbaya
Kwa wachoma nyama wote wananifahamu huwa sili nyama ambayo haijaiva vizuri au kubabuliwa kwa moto mkali.

Pia hapo angetakiwa apige na ndizi choma na kachumbari ya nyanya na vitunguu na limao hapo ndo raha ya kufanya kazi kwa badii utaifurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…