Day one ya BVR Kibondo: Vituko na ubabe vyatawala

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,188
Reaction score
570
Wasalam wanajukwaa,

Kama tunavyojua nchi nzima luna zoezi linaloendelea la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR,leo hapa jimboni Muhambwe wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma zoezi hilo liligawanywa kitarafa,na kata,leo shughuli hiyo ya uandikoshaji wapiga kura ilifanyika katika kata za Kagezi,Kumsenga, Kizazi,Mukabuye na Itaba.

Kimsingi vituo vilifunguliwa mapema tu,na mawakala wakawepo kwa wakati,shida za mwanzo ilikuwa ni mtandao duni,baada ya zoezi kuanza wananchi katika baadhi ya kata walijitokeza kwa wingi,kwa mfano katika kata ya Kumsenga kijiji cha kumsenga wananchi walikuwa wengi sana,bt katika baadhi ya vituo katika kata zingine wananchi hawakuwa wengi,mfano katika kata ya Kizazi na Itaba katika kijiji cha Kigogo.

Issue kubwa katika zoezi hili ni ubabe wa watendaji wa kata na vijiji wa serikali hii ya CCM kutumia ubabe kutaka kuhujumu mchakato katika maeneo wanayohisi hawana nguvu,mfano leo katika kata ya Kumsenga ambayo kimsingi ni ngome ya CDM kidogo mtendaji wa kijiji apigwe baada ya kwenda kwenye kituo kimoja na kukataa kuwatambua mawakala wa CDM,ilibidi tumwoneshe nguvu ya umma.
changamoto zingine kubwa ni kwa waandikishaji walioteuliwa kushindwa kwenda na kasi,wengine kuonekana si wazoefu katika masuala mazima ya matumizi ya computer,watendaji wa kijiji na kata kuingilia ama kutaka kuvuruga mchakato wa uandikishaji,mashine kugoma kusoma alama za vidole na mawakala kukosa wino wa kusapoti,tkribani watu 17 mashine zimegoma kusoma arama zao,vitambulisho kutoka bila picha ama picha zisizo za viwango kiasi cha kutotambua sura ya mtu,
Mawakala kukataa kuwaandikisha wananchi mpaka.wawe na namba simu na kama hawana kulazimisha watumie namba za watendaji hao wa vijiji na mwisho kuwanyima takwimu za mwisho mawakala wa upinzani kupata idadi ya watu walioandikishwa kwa siku hiyo kwa amri ya watendaji wa kijiji.

Leo tumekwenda nao sambamba na tutaendelea kukomaa nao mpaka kieleweke,na zoezi la kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha linaendele jimbo zima na mwisho nitoe wito kwa magamba ya CCM katika hili wasithubutu kuhujumu mchakato,kwani kuleta mizengwe ili wananchi wasijitokeze kwa wingi kujiandikisha itavigarimu vyama vyote zaidi wao kwani leo nimzshuhudia vijana wamejitokeza kwa wingi sana huku wapiga kura wao wengi cimputer zimekataa kusoma arama zao.

Vijana wamejitokeza kwa wingi sana kuliko kundi lolote lile na hii ni kutokana na kutoa elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kujiandikisha kupiga kwenye daftari,kwenda kupiga kura na kuzilinda.
 
sijui kama huko kigoma mtafanikiwa kuandikishwa wote.maana baada ya siku saba zoezi litasimama mara moja na vifaa kupelekwa kituo kingine bila kujali kama mmeandikishwa ama lah. mambo hayo yamefanyika maeneo mengi ikiwemo mbinga mkoani ruvuma. kwenye baadhi ya maeneo wapiga kura waliachwa kwenye kituo cha kujiandikisha bila kuandikishwa kwa kisingizio kwamba muda umeisha.
 
Mkuu usiogope tunaendelea kuhamasisha vya kutosha hakuna atakaebaki bila kuandikishwa
 
Ole wao walete mwanza
Nina hasira na ccm
 
sijui kama huko kigoma mtafanikiwa kuandikishwa wote.maana baada ya siku saba zoezi litasimama mara moja na vifaa kupelekwa kituo kingine bila kujali kama mmeandikishwa ama lah. mambo hayo yamefanyika maeneo mengi ikiwemo mbinga mkoani ruvuma. kwenye baadhi ya maeneo wapiga kura waliachwa kwenye kituo cha kujiandikisha bila kuandikishwa kwa kisingizio kwamba muda umeisha.

Kama ni hivyo hakuna kuwaonea huruma wazee na vikongwe, wapange mstari kama wananchi wengine.

Halafu inabidi kuwahasisha vijana kudamka asubuhi na kupanga foleni kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura.

Ili siku zitakapokwisha wawe tu ni wazee ambao hawajaandikishwa ambao ndio wapiga kura wa CCM.

Hivyo NEC wakiondoka kabla ya kumaliza kuandikisha wapiga kura wote, itakuwa IMEKULA kwa CCM, kwani wapiga kura wao ndio watakuwa hawajajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
 
Good idea agiza chochote ntakuja kulipa
 
Wasalam wanajukwaa,

Kama tunavyojua nchi nzima luna zoezi linaloendelea la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR,leo hapa jimboni Muhambwe wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma zoezi hilo liligawanywa kitarafa,na kata,leo shughuli hiyo ya uandikoshaji wapiga kura ilifanyika katika kata za Kagezi,Kumsenga, Kizazi,Mukabuye na Itaba.

Kimsingi vituo vilifunguliwa mapema tu,na mawakala wakawepo kwa wakati,shida za mwanzo ilikuwa ni mtandao duni,baada ya zoezi kuanza wananchi katika baadhi ya kata walijitokeza kwa wingi,kwa mfano katika kata ya Kumsenga kijiji cha kumsenga wananchi walikuwa wengi sana,bt katika baadhi ya vituo katika kata zingine wananchi hawakuwa wengi,mfano katika kata ya Kizazi na Itaba katika kijiji cha Kigogo.

Issue kubwa katika zoezi hili ni ubabe wa watendaji wa kata na vijiji wa serikali hii ya CCM kutumia ubabe kutaka kuhujumu mchakato katika maeneo wanayohisi hawana nguvu,mfano leo katika kata ya Kumsenga ambayo kimsingi ni ngome ya CDM kidogo mtendaji wa kijiji apigwe baada ya kwenda kwenye kituo kimoja na kukataa kuwatambua mawakala wa CDM,ilibidi tumwoneshe nguvu ya umma.
changamoto zingine kubwa ni kwa waandikishaji walioteuliwa kushindwa kwenda na kasi,wengine kuonekana si wazoefu katika masuala mazima ya matumizi ya computer,watendaji wa kijiji na kata kuingilia ama kutaka kuvuruga mchakato wa uandikishaji,mashine kugoma kusoma alama za vidole na mawakala kukosa wino wa kusapoti,tkribani watu 17 mashine zimegoma kusoma arama zao,vitambulisho kutoka bila picha ama picha zisizo za viwango kiasi cha kutotambua sura ya mtu,
Mawakala kukataa kuwaandikisha wananchi mpaka.wawe na namba simu na kama hawana kulazimisha watumie namba za watendaji hao wa vijiji na mwisho kuwanyima takwimu za mwisho mawakala wa upinzani kupata idadi ya watu walioandikishwa kwa siku hiyo kwa amri ya watendaji wa kijiji.

Leo tumekwenda nao sambamba na tutaendelea kukomaa nao mpaka kieleweke,na zoezi la kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha linaendele jimbo zima na mwisho nitoe wito kwa magamba ya CCM katika hili wasithubutu kuhujumu mchakato,kwani kuleta mizengwe ili wananchi wasijitokeze kwa wingi kujiandikisha itavigarimu vyama vyote zaidi wao kwani leo nimzshuhudia vijana wamejitokeza kwa wingi sana huku wapiga kura wao wengi cimputer zimekataa kusoma arama zao.

Vijana wamejitokeza kwa wingi sana kuliko kundi lolote lile na hii ni kutokana na kutoa elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kujiandikisha kupiga kwenye daftari,kwenda kupiga kura na kuzilinda.

Hakikisheni tume inatoa idadi ya walioandikishwa, vyenginevyo wanaweza kuongeza wapiga kura hewa.
 
Back
Top Bottom