DAWASCO Yafaa iangaliwe Upya

DAWASCO Yafaa iangaliwe Upya

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,276
Reaction score
2,435
Wakuu, sasa litakalo kuwa na liwe.
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Ubungo. Sasa ni takribani siku ya 11 (wiki 2) hakuna maji wilaya hii from mbezi mwisho mpaka huku msewe, hadi ubungo mabibo Binafsi nimeenda kwenye idara ya maji nimejibiwa majibu ya kunya sana (ETI WEWE NI NANI MPAKA UJE UULIZE KWA NINI HAKUNA MAJI?). Uzuri nimewarekodi wote waliokuwa wananijibu fyatu. Nimempigia manager wa Dawasco, naye ni walewale majibu ni ajabu ajabu. eti kama hakuna maji unanipigia nifanyaje (ninaoushaidi wa majibu haya ya hovyo). Leo nimempigia katibu mkuu wizara ya maji (Hajapokea simu yangu).
Hivi sisi watanzania shida yetu ni nini hasa: What if ukawapa taarifa wananchi sababu zinazofanya mkate maji kwa muda huu wote. Hapa nilipo nauziwa dumu moja la maji 1000.
Sijachoka kesho nikitoka kwenye kutafuta mkate wa kila siku nitakujeni kuwakumbusha tena.
Na hawa wabunge wetu wao wanakula kuku dodoma na vimwana, hakuna shida 2020 tutaelewana.
Jamaa tunaopata hii adha tupaze sauti hawa DAWASCO huenda nao wakawa wamehamia Dodoma
 
hakuna Taasisi, Kampuni ama Mamlaka ya Maji inayoitwa DAWASCO!
 
Mkuu, 'liwalo na liwe' vipi kwa kudai haki zako za msingi?
Mimi nashangaa sana Magufuli anavyowafukuza kidhalilishaji kwa kushindwa kwao kuwajibika, halafu unakuta watu wanawakingia kifua kwa utetezi!

Wewe ukiona wanaendelea kukuzingua zaidi, weka kumbukumbu zako hizo vizuri, ipo siku isiyo na jina, ambayo watakuwa wamejisahau tayari, utawabananisha hadi mikojo itawatoka.
 
Naendelea kukusanya evidence na nawapa 3 days wasipoleta maji nitaenda Nitawafuate Dodoma
 
Siwezi kuwa na busara kwa choko kama wewe usiyejua hata kufikiria. Nyie mashoga mnapendaga ugomvi na watu bila sababu.
kuwa na busara! Kwani lazima ukijitia kidole unuse?
 
Ni suala la kueleweshana tu, hakuna haja ya kujibizana
Mnachojibizana ni kidogo tu DAWASCO ama DAWASA
Kubalianeni bila kutumia lugha ngumu
Siwezi kuwa na busara kwa choko kama wewe usiyejua hata kufikiria. Nyie mashoga mnapendaga ugomvi na watu bila sababu.
 
DAWASCO ILISHAKUFA WW PUNGUANI. Halafu ue unatizama vyomb vya habar mbona taarifa walitoa mapema tu.
 
Siwezi kuwa na busara kwa choko kama wewe usiyejua hata kufikiria. Nyie mashoga mnapendaga ugomvi na watu bila sababu.
tukana lkn mm nimeridhika kuona mamako ananiheshimu!
 
Back
Top Bottom