Dawasco msaada tutani

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
836
Kunamahali watu kama watatu walinunua bomba kama mita mia ,,wakajiunganishia dawasco kwa fundi kishoka alafu wakaenda dawasco kuomba maji,,sawa wanawazuia watu wengine wasilitumie hili bomba kuombea au kuunganishiwa maji yaani wanawazuia watu wasilitumie,,he ni kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngojea tuwaite wenyewe DAWASCO
 
Bomba lenyewe wamelipitishia mtaani yaani ni LA mtaaa ,,,tunazuiwa wanadai nilao tuwape pesa wao ili tupate maji

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila nnavyojua iyo ni kawaida,,,;mfano Mimi Kuna sehemu nimejenga mitaa ya Bunju, ,, tuliwai kipindi iko mwaka 2014 kuchangaga tukapitisha bomba kubwa sijui la nchi 3 nadhani ,, tulichanga Laki moja moja ,,,,, kwa jinsi maji yalivyo muhimu changia tu mkuu,,,labda kama anataka hela ndefu,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…