DAWASCO kutoa maji mpaka tuwaandike JF?

DAWASCO kutoa maji mpaka tuwaandike JF?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,034
Reaction score
2,126
Yaani wiki 4 zilizopita niliwapost hapa immediately wakafungua maji sasa tukienda hivi tutakua hatufiki jamani,wao wana magari wanatuunzia ndoo 1 shilingi 500 sijui ndio hela ya uchaguzi inatafutwa kwa nguvu....huduma ambayo ilitakiwa kutolewa free ndio imekua ghali sana kuipata na hapa hapa Dar kuna watu hawajawahi kabisa katiwa maji kwani kuna watu wanaostahili kupata na wasio sathili kupata ? kisingizio ilikua mvua zimeharibu miundo mbinu,sasa hivi sijui watasemaje maji yamekua machafu sana ama ni nini ? Tuoneeni huruma sisi wananchi wa CCM jamani mtatuua mtaani hali mbaya watu ni kuugua typhoid kwa sana dengue ishapigwa gepu.....maana maji tunayotumia ni balaaa !
 
mkuu wangu hivi majuzi nilikuwa dar katika shughuli zangu nilikuwa nazifanyia maeneo ya mbezi na kinondoni.
pale mbezi niliona magari yakiwa na matank makubwa nikaambiwa wanauza maji.na kule kinondoni niliona vitoroli vikiwa na madumu nikaambiwa wanauza maji.
_ukitazama hapa jf kwanini post nyingi zinamlenga tu mnyika eti ameshidwa kutatua kero ya maji?
swali langu kwako katika majimbo ya dar ni lipi lina kero kubwa ya maji?
na kwanini?
 
ccm wakileta maji dar kwenye kampeni watakuwa wanaongelea nini?
hiyo kero ya maji ni kwa ajili ya siasa wakazi wa dar muwe tu wavumilivu ila endeleeni kuichagua ccm
 
Yaani wiki 4 zilizopita niliwapost hapa immediately wakafungua maji sasa tukienda hivi tutakua hatufiki jamani,wao wana magari wanatuunzia ndoo 1 shilingi 500 sijui ndio hela ya uchaguzi inatafutwa kwa nguvu....huduma ambayo ilitakiwa kutolewa free ndio imekua ghali sana kuipata na hapa hapa Dar kuna watu hawajawahi kabisa katiwa maji kwani kuna watu wanaostahili kupata na wasio sathili kupata ? kisingizio ilikua mvua zimeharibu miundo mbinu,sasa hivi sijui watasemaje maji yamekua machafu sana ama ni nini ? Tuoneeni huruma sisi wananchi wa CCM jamani mtatuua mtaani hali mbaya watu ni kuugua typhoid kwa sana dengue ishapigwa gepu.....maana maji tunayotumia ni balaaa !

si afadhali walifungua ukayapata.Kuna eneo langu huko Kibaha ilinigharimu miezi sita kuunganishiwa maji tangu nilpolipia.Kituko sasa tuna wiki mbili hatujaona maji Lulanzi Picha ya Ndege Kibaha
 
Yaaan uku tabata n tabu tupu......hamna maji siku wakifungua ni nusu saa au lisaa yashakatika hadi mwezi au miez 2 ndo wanafungua tena kwa staili Ile Ile!! CCM Oyeeeeeeee
 
Subiri 2015 akiingia brother EL,shida ya maji itaisha.EL hana utani kwenye maisha bora kwa kila Mtanzania.
 
Dawasco na Tanesco majanga ya taifa hili.
Inakaribia wiki moja sasa maji hayatoki Mbezi
Beach area; tunangoja magazeti yalalamike.
 
Kwa staili hii lazima tuungane hata kama ni kwa mtandao ya kijamii ama simu za mkononi watapata ujumbe ni kuanzisha campaign maaulu ya kuda kuboreshwa huduma za msingi za kijamii na kupatiwa kama haki ya kila raia wa Jamhuri wao wamekaa na wake zao wanapulizwa na kipupwe beach watoto wa kajamba nani wanahaha kutafuta maji na kununua maji ya chumvi 1000 kwa ndoo 1 na ndio hao hao wanatuuzia maji..........we should stand up and say this is enough, kuna watu hawasikii uchungu wa aina yoyote yaani wao wanasema kafie mbali , wao ni kujilimbikizia mali wao na familia zao !!!! Hii ni Tanzania yetu sote......we should be one katika kudai haki na hakuna u CCM,u CUF, ama u CHADEMA
 
mkuu wangu hivi majuzi nilikuwa dar katika shughuli zangu nilikuwa nazifanyia maeneo ya mbezi na kinondoni.
pale mbezi niliona magari yakiwa na matank makubwa nikaambiwa wanauza maji.na kule kinondoni niliona vitoroli vikiwa na madumu nikaambiwa wanauza maji.
_ukitazama hapa jf kwanini post nyingi zinamlenga tu mnyika eti ameshidwa kutatua kero ya maji?
swali langu kwako katika majimbo ya dar ni lipi lina kero kubwa ya maji?
na kwanini?

Please sign na share hii https://www.change.org/petitions/wa...atiwe-huduma-ya-maji-safi-na-salama-kwa-usawa
 
Yaani wiki 4 zilizopita niliwapost hapa immediately wakafungua maji sasa tukienda hivi tutakua hatufiki jamani,wao wana magari wanatuunzia ndoo 1 shilingi 500 sijui ndio hela ya uchaguzi inatafutwa kwa nguvu....huduma ambayo ilitakiwa kutolewa free ndio imekua ghali sana kuipata na hapa hapa Dar kuna watu hawajawahi kabisa katiwa maji kwani kuna watu wanaostahili kupata na wasio sathili kupata ? kisingizio ilikua mvua zimeharibu miundo mbinu,sasa hivi sijui watasemaje maji yamekua machafu sana ama ni nini ? Tuoneeni huruma sisi wananchi wa CCM jamani mtatuua mtaani hali mbaya watu ni kuugua typhoid kwa sana dengue ishapigwa gepu.....maana maji tunayotumia ni balaaa !

wala usiseme hukukwet walfungua juz,tnashkuru mvua imenyesha leo tmefua
 
Yan huku kwetu wiki sasa hamna maji tunauziwa maji ya kwenye madumu khaa hawafai kabisa hawa!! Stupid!!
 
Back
Top Bottom