..walitangaza kununua eka moja kwa mashamba yaliyobaki baada mradi wa viwanja kwa shilingi milioni tano! Joto liliposhuka wanatangaza 2.5 lo! Fidia ya nyumba wanazijua wenyewe, tunamngoja Director arudi kwenye warsha ARUSHA ndo atatuletea bei anavyoona.., pia watatupangishia nyumba (sijui za level gani!) kwa miezi mitatu du baada ya kutuhamisha!