Hili suala huwachanganya wengi.
Dawasco sio kampuni ndogo ya DAWASA,hivi ni vitu viwili tofauti.Dawasco ni kampuni inayosimamia usambazaji maji jijini ,ilirithi mkataba wa CITY WATER.DAWASA ni Agency ya serikali inayowasimamia Dawasc😵fisi za DAWASA ziko Mwananyamala Mkabala na Hospitali ya Mwananyamala ubavuni mwa ofisi za Ardhi za jiji pale mwananyamala.Ile njia ya lami inayotokezea Kinondoni kanisani kama sijakosea.Kwa wapenda shortcuts wanaijua.