Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakuwa wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea?
Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakua wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea ?