Dawa za Sh. Bilioni 2 hazijafika Muhimbili toka Keko tangu Mei 2012

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
902
909
JIPU LA KIHISTORIA

Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG amesema ukaguzi wao umebaini kunadawa za thamani ya bilioni 2 zinaonekana zipo njiani toka Dar, Keko kwenda Hospitali ya Muhimbili - Upanga tangu Mei mwaka 2012 na hazijafika bado Muhimbili.

Hii ni safari ndefu ya dawa kuliko zote Duniani
 
Back
Top Bottom