Wanapigwa kweli kweli.Kuna kipindi nilikuwa nachangia thread ya jamaa nikasema kwa utani najua mganga mwenye uwezo wa kutoa utajiri. Nifuatwa na watu wengi PM wakiomba niwaunganishe. Hata huyu atapata wajinga wa kula. By the way kama uchawi ni sayansi ya mwafrika ya tangu karne inakuwaje mganga aombe picha ya mtu wakati enziu hizo hakukuwa na picha.ONYO KWA WAGENI :Matapeli wapo mpaka jamiiforum kuwa makini.
Ndugu zangu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza ni Kweli
Mimi ni mmoja ya watu ambao walikuwa hawaamini saana ushirikana kama upo katika mapenzi
Ukweli ni kwamba ushirikana upo Tena saana Kuna watu wanajua vitu bwana dah
Kuna rafiki yangu ambaye alikuwa ananishauria niende kwa mganga baada ya demu fulani hivi ambaye nilipendana naye alafu akala vitu vyangu Bila Mimi kunyandua bwana alafu kulitokea tatizo fulani mtoto akanipa stop nilijaribu kumrudisha mtoto alipiga Chini Kweli Kweli
Sasa Jana nilikwenda kwa Jamaa fulani Ivi dah Jamaa aliomba jina la mtoto Na picha yake tu alafu akasema ni Rudi nyumbani nikiona matokeo ndo nitarudi kumlipa pesa zake
Leo asubuhi mtoto amenitafuta mwenyewe
Yaani APA Na Baki Na maswali kichwani
Hivi ni dawa Kweli au mganga kanitongozea mtoto maana zamani mtoto alikuwa amenipotezea kinoma ila cha ajabu Leo tulivyo onana aliniambia eti alikuwa ana ni miss saana Na wakati tulikuwa tunaonana Kila siku

naunga hoja.ONYO KWA WAGENI :Matapeli wapo mpaka jamiiforum kuwa makini.
Shusha madini AnkoliMganga wako ametumia miti miwili ya hanjali na fanjali katika kutengeneza moshi wa miujiza ambao wakati unaongea nae moshi ulikuingia mwilini kupitia pua yako, moshi huo ulkuwa na kazi ya kutengneza mvuto na kumfuta kumbukumbu huyo mwanamke kupitia haiba yako. Any way its magic over magice .
Mkuu usibishe usichokijuwa,Pesa huna
Mvuto huna
Sound huna
Elimu ya kujiongeza huna
Dawa atakayokupa mganga ni kukujengea kujiamini nayo itadunda tu
Kwa sababu akili huna
[emoji848]