Jamani hivi naomba tusaidiane kufikiri kwa sauti,kumekuw na wimbi kubwa sana kwa wadada kutengeneza shape zao aka "kuongeza makalio hips" naa kuwa weupe ,na watu maarufu na wasokuw maarufu wamekuw wakitengeneza pesa sana either kwa matangazo ya biashara hizo au kwa watengenezaji wenyewe kutangaza bidhaa,
Hainiingii akilini kwa wadada kukurupukia madawa ya kichinia ili tu uwavutie wanaume kwa shape na rangi fake ya kichina,fikiria mara mbili kuhusu hili,wanaume hawatabiriki unaweza jikwatua kwatu na mkorogo kama papai bichi au ushape wa kichina still ukaachwa vile vile tena ukashangaa akatoka na mtoto mweusiiii na wala hata mkorogo hajawah pitisha utaliajeee!!!?
Wadada tujifunze kijikubali jamani,kumkosoa Mungu pasi na sababu tuache dhambi zngine zinazoepukika tuziepuke,umeumbwa mweusi sema Asante Mungu,Shape mbaya ni yako shukuru,ukute Mungu kakupangia wako atakupenda ulivyo na si wababaishaji wanaotaka shape na weupe wa bandia,dats hata Mungu alisema NITAKUPA WA KUFAFANANA NAE,dats Mpenda Club atakutanishwa na anaependa swaga hizo na watadum kwa sababau wanaendana tabia zao hali kadhalika Mpenda ibada atakutanishw na anaependa ibada.
Muwe na Siku njema wapendwa.