Emilia
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 266
- 86
neemaherbalist.blogspot.com>>>>>Hawa jamaa ndo wanajitangaza kuwa wanayo ya kuongeza maumbile ya kiume,kuongeza makalio, kuondoa harufu mbaya kwenye maeneo na pia kuongeza mtu urefu kama we ni mfupi
kuna dawa unakunywa na kupakaa kichwani
utakuwa mrefu ndani ya siku 14!!!!
Hiyo ya kuongeza mtu urefu niko interested,
ni kweli inaongeza na inaongeza kwa kiasi gani???