Dawa za kuongeza ukubwa wa mashine kwa wanaume, ni kweli au propaganda?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za kuongeza ukubwa wa mashine kwa wanaume, ni kweli au propaganda??

Discussion in 'JF Doctor' started by Ibrahim K. Chiki, Apr 9, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ni hivi wana jamvi, mi nna swali, hivi hizi dawa za kuongeza uume ni za kweli au propaganda tu.u.??
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Uchawi tu na mapepo machafu
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daaahh
  sijui kwa sababu
  simruhusu wangu azitumie
  nimeridhika na aliyonayo
  Mmmhhhh
   
 4. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ukitaka Jibu sahihi
  Jaribu kutumia Then utaona matokeo yake na jaibu tayari utakuwa nalo.
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ni kweli dawa zinafanya kazi mie jamaa katumia yani sasa hivi tunafurahia tendo acha tuu, nakushauri uzitumie tena usichelewe :bored::rip::A S-key:
   
 6. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hizo dawa ni kweli zipo!zinanenepesha kitu mbaya!urefu inch 6 unene sawa na chupa ya fanta!kitu kinakua cha ukweli kichizi!kama kuna mtu anahitaji atoe request yake ntamwelekeza pa kuipata!
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wadau mliokisha tumia mtujuze pls! Twataka tuzipe zetu nazo afya!
   
 8. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi nitajaribu kuitumia endapo tu nitapata (antidote) ya kusimamisha isiendelee kukua wakanikimbia mtaani.
   
 9. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hakuna kitu mkuu
   
 10. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  We umeshakua nanasi
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huwa najiuliza hivi kuongeza ukubwa ili iweje? kwani mnakomoana? au anaridhika unapomuumiza? ukubwa wapua siyowingi wa kamasi bwana!
   
 12. Babarita

  Babarita JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sasa ww si utuelekeze kwan huoni ishara kuwa watu wanazitaka
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mama rita atakuwa salama kweli ukizipata?
   
 14. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Caution ! Complications zake hapo baadae ni kama zile za dawa za kuongeza ukubwa wa makalio na matiti!
  So kwanini ujitakie balaa kama mashine ina umbo la kutosha kuridhishana?
  Kama una kitu bamia,sorry go on !
  ... Wakati wote advantage inatakiwa ku overwheel disadvantage.

  Kuna siku tutaombana ushauri wa kuanza kumeza ARV ilhali hatujapata maambukizo ya VVU !
   
 15. Babarita

  Babarita JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  yeye mwenyewe ndio kashaur tuzitafute
   
 16. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Unataka **** wa size gani, ili umshangaze demu wako? Maana hata kichwa cha mtoto mchanga hupita kwenye hiyo K U M A.
   
 17. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Aisee jasiri sana wewe!
   
 18. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni kweli? hebu tujuze na sisi wa kwetu wakatumie....
   
 19. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani hebu tujuzeni kaam ni kweli, zinapatikana wapi? Hazina madhara?
   
 20. m

  majogajo JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  alizotumia mme wako zilikuwa za kienyeji? au za kizumgu au alitumia mashine?
   
Loading...