Sadat Hamis
Member
- Mar 2, 2013
- 31
- 10
Naona post nzima umejaza ugonjwa kabla ya kuweka hiyo dawa.
umeona ee
Naona post nzima umejaza ugonjwa kabla ya kuweka hiyo dawa.
wooooooooteeeee mliochangia hamna jipya coz kam mlijua threads ni mbovu haikuwa nahaja ya kuifungua na kukomenti inaonyesha hata nyie hizi mambo mnazipenda coz inaoonyesha kichwa kiliwavutia sanaa tehe tehe tehe samahani kam nime wakwaza but huo ndio ukweli...PEACE.......:yo:Yaani huyo humu Hanaga jipya yeye kila thread anayoianzisha ni ya Wanawake wanawake 2 hanaga jipya. Nazani alichokitarajia JF sicho alichokikuta.!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
MBONA KAWAIDAYona edson mbona threads zako hazibadiliki kila wakati ni yale yale tu(mara mbunye, mara............).
Kama vipi sio lazima kuanzisha thread, nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza.
Sijui ni ujana unakusumbua? Ila mbona vijana wenzako hawako hivyo?
Labda wenzangu wanapenda threads zako?
Ila huo ndio USHAURI wangu kwako, utaamua mwenyewe kuufuata au kuuacha.