Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
Ki Roho SaFi JE WANAWAKE BADO WANAKUSUMBUA???- Embu tujadili leoWanawake ni watu wa vikwazo. Wenyewe wanasema wanaweka vikwazo ili kukupima kama una "mapenzi ya kweli". Unachotaka wewe ni kimoja. Kula mzigo. Maana inabidi ule mzigo kwanza, ndo ujue kama uendeleze mapenzi yawe ya kweli ... au upotezee. Au sio mzee?Ila yeye atakuwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:Niko kwenye periodNina boyfriend / mume / mchumbaNinaumwa (malaria/tumbo/-kichwa/n.k.)Mama yangu mgonjwaNiko bize na kaziNimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kaziMi bado mdogoSitaki!!Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutokaWewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/n.k.)Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!na kadhalikaJe ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?