MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,743
- 39,796
Mkuu,Habari wana JF
Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la kufa na kupona.
Mbao za kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtakuwa Mmejengea kwa Mbao za Kula... sasa Mdudu ataachaje Kula...
Wekeni Mininga au Milingoti hailiki even Mchwa wanavunja tu meno yao
Kwenye Matundu mule pulizia dawa ya Mbu kisha ziba vitundu kwa Chelewa au kijiti kigumu Mdudu hufia humo humo kila ukisia mlio Tafuta vitundu Pulizia spray ya Mbu Dudu Killer
Oil chafu ni rangi tu. Lakini kitu cha msingi ni oil, oil hukata ngozi ya mdudu kwa sababu imeumbika kwa plastic maalumu ambayo haipendi kitu oil, ikigusa oil hujikunyata na kuoza. Hivyo humfanya mdudu kufa kwa maumivu makali.oil chafu
Wallah kama leo ningepata mgeni ningejua ni wewe.
Mimi najua ndo mchwa kumbe si hao, wakianza kula utafkiri wanasaga mahindi mashineni yaani hao wadudu ni noma, wanapiga kelele sana ,chumba kimoja wametafuna mbao mpaka wameangusha gypsum, chumba kingine mlango wa chooni ukiugonga hivi unatoka unga unga na ni mwepesi sana na umeshatoka, chumba kingine mlango umeliwa sehemu ya kati.
Nasubiri dawa na mie.