Dawa ya wachepukaji imepatikana

dume la kenge

Senior Member
Joined
Apr 12, 2017
Posts
177
Reaction score
240
Hii imetokea hapo nchi jirani baada ya jamaa kumfumania mkewe na jibaba fulani. Aliwafungia mlango kwa nje kwanza ndo akaandika haya maandishi. Baada ya hapo ndo Inasemekana alimfungulia mkewe ,akamfukuza alafu akambakiza lile jibaba la watu mle ndani, naisi huyo ndo atakuwa new wife.
 
Duuhh hapo ni kipigo cha mbwa mwizi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…