Dawa ya vyuma kubana

Akilindogosana

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
2,874
8,685
NDUGU WATANZANIA.
Sisi wote kwa pamoja tumeathirika na uchumi mgumu, ukosefu wa fedha mtaani, bidhaa kupanda bei kama sukari, ukosefu wa ajira, kodi kubwa na hali ya maisha kuwa magumu. Hali hii imezidi kuongezeka kwa kasi mno katika kipindi cha miaka mitano mpaka tukasema vyuma vimebana. Hali hii imetuumiza watanzania wote bila kujali chama, bila kujali kabila, bila kujali umri wala jinsia.

Sasa suluhisho la matatizo haya ni kuondoa chanzo cha tatizo kwa Kumpatia kura za kishindo Tundu Lissu oktoba 28. Sisi wote tukiungana bila kujali vyama, makabila, jinsia na itikadi zetu tunapaswa tumpe kura zote Tundu Lissu. Hii janja ya uchumi wa kati ni mbinu ya kutudanganya ili turudi kwenye matatizo yaleyale. Sisi watanzania kwa umoja wetu tumpe kura zote Tundu Lissu.

Huu ujumbe ufike kwa kila Mtanzania tuma kila group lako, kila mtandao, andika hata kwenye karatasi, tuma kama ujumbe wa simu kwa watu wote, wapigie simu watu uwaambie, rekodi voice note utume kote,uweke kwenye status ili watu wote wapate ujumbe huu na Tujiokoe dhidi ya vyuma vilivyokaza na kututesa.

Kura zote kwa Tundu Lissu na ujumbe huu share kwa watu wote. Hali ngumu lazima tuimalize kwa kumpa kura Lissu.

SHARE
 
NDUGU WATANZANIA.
Sisi wote kwa pamoja tumeathirika na uchumi mgumu, ukosefu wa fedha mtaani, bidhaa kupanda bei kama sukari, ukosefu wa ajira, kodi kubwa na hali ya maisha kuwa magumu. Hali hii imezidi kuongezeka kwa kasi mno katika kipindi cha miaka mitano mpaka tukasema vyuma vimebana. Hali hii imetuumiza watanzania wote bila kujali chama, bila kujali kabila, bila kujali umri wala jinsia. Sasa suluhisho la matatizo haya ni kuondoa chanzo cha tatizo kwa Kumpatia kura za kishindo Tundu Lissu oktoba 28. Sisi wote tukiungana bila kujali vyama, makabila, jinsia na itikadi zetu tunapaswa tumpe kura zote Tundu Lissu. Hii janja ya uchumi wa kati ni mbinu ya kutudanganya ili turudi kwenye matatizo yaleyale. Sisi watanzania kwa umoja wetu tumpe kura zote Tundu Lissu.

Huu ujumbe ufike kwa kila Mtanzania tuma kila group lako, kila mtandao, andika hata kwenye karatasi, tuma kama ujumbe wa simu kwa watu wote, wapigie simu watu uwaambie, rekodi voice note utume kote,uweke kwenye status ili watu wote wapate ujumbe huu na Tujiokoe dhidi ya vyuma vilivyokaza na kututesa.
Kura zote kwa Tundu Lissu na ujumbe huu share kwa watu wote. Hali ngumu lazima tuimalize kwa kumpa kura Lissu.

SHARE
Sawa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom