buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
1.chukuwa ukwaju na ujaze katika kidumu cha lita 5
2. weka maji mpaka yatakapo jaa, tia sukari kidogo kupunguza uchungu
3. subiri baada ya muda fulani hivi, ule uji uji uchanganyike na ukwaju iwe juice.
4. kunywa kama unakunywa maji ya kunywa, na tumbo lisiwe na kitu ndani yake/yaani usiwe umekula kitu chochote.
5. unaweza ukasikia maumivu lakini jikaze tuu, ndio kupona kunakuja.
6. utakuwa unabadilisha maji maana yatakuwa yanaisha katika kile kidumu,hivyo hivyo mpaka ule ukwaju umepukutisha radha yote.
7. usinywe maji ya kunywa unapo tumia, unywe ukwaju tuu,hata lita moja kwa mkupuo tena ukwaju ule mzito.
8. fanya hivyo siku zote mfululizo kama wiki hivi.
10. siku zinapo kwenda, utaanza kuona nafuu,
11. usinywe vitu vyenye asidi kari, kama soda, maembe,chungwa,nanasi, nk
12. baada ya miezi mitano ukiona hujisikii maumivu, test afya yako kwa kura maharage.
13. usiache kutumia ukwaju hata kama ni mara mojamoja!
binafsi, nilifanya hivyo na nilipona,na hata maharage ninakura, niliuguliwa takribani miaka 5, mfululizo! vidonda vya tumbo, ni mateso! lakini leo hii! imebakia kuwa ni historia!