Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,985
- 25,635
Chanzo cha UTI sugu (maambukizi ya mkojo ya kurudia-rudia) kinaweza kuwa mchanganyiko wa sababu zifuatazo:tuazie hapa nini chanzo cha U.T.I sugu...
sijaelewa vizur mkuuView attachment 3375234View attachment 3375237
Natoa Sadaka kwa maexpert wangu,mwenye kusumbuliwa na UTI Sugu achukue mahindi mabichi akatekate achanganye na limao lililo katwa katwa kisha achemshe
Ukipoa huo mchanganyiko aweke kwenye chupa kisha anywe,kwa siku kama mara mbili au tatu kwa masiku kadhaa,kwa uwezo wa Allah, shida itakuwa imeisha
Ushuhuda ni wa ndugu yangu ambaye alisumbuliwa sana na shida hiyo,akatumia ikawa historia
Ni hayo tu!
Hiyo ni dawa ya UTI sugu, kwa ambaye anasumbuliwa sana au inamrudia mara kwa mara,basi achukue mahindi mabichi akate vipande pamoja na bunzi lake,mathalani mhindi mmoja waeza kata vipande vitatu au vinnesijaelewa vizur mkuu
asante sana mkuuHiyo ni dawa ya UTI sugu, kwa ambaye anasumbuliwa sana au inamrudia mara kwa mara,basi achukue mahindi mabichi akate vipande pamoja na bunzi lake,mathalani mhindi mmoja waeza kata vipande vitatu au vinne
Kisha unakata na limao vipande kadhaa,kisha unachemsha kwa pamoja,kwa maana mahindi na limao,kisha maji yake ndio unakunywa na ndio dawa,waeza kunywa mara mbili kwa siku,kwa wastani wa siku nne au tano hivi
Limao ukate pamoja na ganda lakeHiyo ni dawa ya UTI sugu, kwa ambaye anasumbuliwa sana au inamrudia mara kwa mara,basi achukue mahindi mabichi akate vipande pamoja na bunzi lake,mathalani mhindi mmoja waeza kata vipande vitatu au vinne
Kisha unakata na limao vipande kadhaa,kisha unachemsha kwa pamoja,kwa maana mahindi na limao,kisha maji yake ndio unakunywa na ndio dawa,waeza kunywa mara mbili kwa siku,kwa wastani wa siku nne au tano hivi
NdioLimao ukate pamoja na ganda lake
Duh! Ugonjwa wa Kisukar kinasababisha U.T.Iππππ Hawa Madaktar watatuuChanzo cha UTI sugu (maambukizi ya mkojo ya kurudia-rudia) kinaweza kuwa mchanganyiko wa sababu zifuatazo:
πΉ 1. Kutokumaliza dozi ya dawa ipasavyo
Maambukizi hayawezi kuondoka kabisa, hivyo hurudi tena kwa nguvu.
πΉ 2. Matumizi ya antibiotics kupita kiasi
Hupelekea bakteria kuwa sugu (antibiotic resistance).
πΉ 3. Usafi hafifu wa sehemu za siri
Kama vile kufuta kutoka nyuma kwenda mbele, hasa kwa wanawake.
πΉ 4. Kujamiiana bila kujisafisha vizuri
Huweza kusababisha kuingiza bakteria kwenye njia ya mkojo.
πΉ 5. Kuwepo kwa matatizo ya kiafya
Kama kisukari, mawe kwenye figo, au kinga dhaifu ya mwili.
πΉ 6. Kuzuia mkojo kwa muda mrefu
Huongeza uwezekano wa bakteria kuongezeka.
Ikiwa mtu anapata UTI mara kwa mara, ni vyema afanyiwe uchunguzi wa kina.