yes kama walivyokushauri hapo juu,ni vema ukatujuza zaidi sio nzuri kuzitumia bila kujua sababu kwa nini hupati usingizi,kama ni mazingira ya kawaida jitahidi kuepuka vinywaji vyenye caffeine kabla ya kulala,kunywa maji mengi na bila kusahau mazoezi ni tiba muhimu mno,kimbia kuzunguka mitaa